Swalah moja Ramadhaan ni sawa na 70 miezi mingine?

Swali: Je, swalah ya sunnah katika Ramadhaan inalingana na swalah sabini za faradhi katika miezi mingine na swalah ya faradhi katika Ramadhaan inalingana na swalah sabini za faradhi katika miezi mingine?

Jibu: Hakuna chochote katika Sunnah kilichopokelewa kuhusiana na mamboh haya ambacho tunakijua.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: As´ilah Ramadhwaaniyyah (02) https://www.youtube.com/watch?v=TC-c-oKkhec
  • Imechapishwa: 15/05/2020