Swalah Kubatilika Kwa Sababu Ya Wasiwasi

Swali: Kubatilika kwa swalah kwa sababu ya wasiwasi kunamtoa mtu katika Uislamu?

Jibu: Hapana. Haya ni majaribio na ni adhabu kwa mtu, lakini hakumtoa mtu katika Uislamu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%201%20-%2011%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 13/02/2017