Swali: Ni ipi njia sahihi ya kuswali juu ya kiti?

Jibu: Hakuna njia maalum ya kuswali juu ya kiti.

Swali: Je, miguu ya mbele ya kiti iwekwe mwanzoni mwa safu au mwishoni mwake?

Jibu: Usiwaudhi watu. Kiweke kiti kwa namna ilio ya sawa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 29/07/2019