Swalah Bila Ya Wudhuu´ Wala Tayammum


Swali: Wakati mwingine mtu hapati si maji wala udongo. Afanye nini kama anataka kuswali?

Jibu: Aswali kutegemea na hali yake hata kama itakuwa bila ya kutawadha wala kufanya Tayammum. Hilo lisimfanye kuacha swalah. Amesema (Ta´ala):

فَاتَّقُوا اللَّـهَ مَا اسْتَطَعْتُمْ

“Basi mcheni Allaah muwezavyo.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (6) http://alfawzan.af.org.sa/node/14379
  • Imechapishwa: 24/03/2017