Swali: Kuna mwanamke alipata ada ya mwezi katika wakati wake. Lakini mwanzoni mwa ada hiyo alimjia damu kidogo kisha ikasita kwa muda wa siku moja na nusu, kisha damu ikamrejelea kwa mara nyingine na ikaendelea mpaka zikamalizika zile siku zake za ada na akasafika. Je, zile swalah alizoacha katika kile kipindi cha siku moja na nusu ni lazima azilipe?
Jibu: Kama alikuwa hana damu kabisa analazimika kuzilipa.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-07-03-1438-هـ
- Imechapishwa: 20/06/2022
Swali: Kuna mwanamke alipata ada ya mwezi katika wakati wake. Lakini mwanzoni mwa ada hiyo alimjia damu kidogo kisha ikasita kwa muda wa siku moja na nusu, kisha damu ikamrejelea kwa mara nyingine na ikaendelea mpaka zikamalizika zile siku zake za ada na akasafika. Je, zile swalah alizoacha katika kile kipindi cha siku moja na nusu ni lazima azilipe?
Jibu: Kama alikuwa hana damu kabisa analazimika kuzilipa.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-07-03-1438-هـ
Imechapishwa: 20/06/2022
https://firqatunnajia.com/swalah-alizoacha-kwa-kipindi-cha-siku-15-wakati-hedhi-ilipokatika/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)