Swali: Baadhi ya watu wanachinja na wanatoa swadaqah ya nyama katikati ya Sha´baan kila mwaka. Je, inajuzu kushirikiana nao katika jambo hilo?

Jibu: Hiyo ni Bid´ah. Hakuna matendo maalum kwa ajili ya Sha´baan wala katikati yake. Mwezi huo ni kama miezi mingine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18073
  • Imechapishwa: 19/07/2019