Swali: Kuna ambao wanatoa swadaqah ili kuzuia majanga. Je, kitendo hichi kimewekwa katika Shari´ah?

Jibu: Ndio. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Watunzeni wagonjwa wenu kwa swadaqah.”[1]

[1] al-Albaaniy amesema: “Mapokezi mengi yanaafikiana na neno “Watunzeni wagonjwa wenu” na kwa ajili hiyo ninaonelea kuwa ni Hasan (nzuri).” (Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (744)).

 

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (27) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20maji%20d%20-%2011%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017