Swali: Inajuzu kumpa swadaqah ndugu ambaye haswali?

Jibu: Haijuzu kumpa swadaqah ilihali haswali. Kufanya hivi ni kumsaidia. Mtu anaweza kufahamu kuwa unaridhia kwa kuacha kwake swalah. Anachotakiwa ni kumsusa mpaka aanze kuswali na kutubu kwa Allaah (´Azza wa Jall).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (35) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighasah%20%20-%2017-%2010-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017