Swaalih Aal ash-Shaykh Ni Ikhwaaniy?


Swali: Na anasema kuwa Shaykh Swaalih Aal ash-Shaykh ana mfumo wa al-Ikhwaan al-Muslimuun, anawapa kipaumbele Hizbiyyuun juu ya Salafiyyuun na anakata ndevu zake…

Jibu: Ni uongo, uongo, uongo. Mfumo wake ni wa al-Ikhwaan?

Muulizaji: Anawapa kipaumbele Hizbiyyuun juu ya Salafiyyuun.

Jibu: Hapana.

Muulizaji: Anakata ndevu zake.

Jibu: Kukata ndevu zake ni suala lingine. Ama kusema kuwa ana mfumo wa al-Ikhwaan si sahihi. Wala hawapi kipaumbele Hizbiyyuun juu ya Salafiyyuun ikiwa anajua yupi ni yupi. Lakini kuna uwezekano akawa hajui mambo fulani yaliyojificha.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Darulhadith.com
  • Imechapishwa: 18/01/2017