Suurah zinazotakiwa kusomwa katika Witr


Swali: Je, kuna dalili inayofahamisha kusoma Suurah “al-A´laa” na “al-Kaafiruun” kabla ya Witr?

Jibu: Ndio. Kumekuja yenye kufahamisha kwamba mtu akiswali Rakaa´ tatu basi asome katika ile ya kwanza “al-A´laa”, Rakaa´ ya pili asome “al-Kaafiruun” na ya tatu asome “al-Ikhlaasw” baada ya al-Faatihah.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (03) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/430/430.mp3
  • Imechapishwa: 26/03/2018