Suurah nyingine baada ya al-Faatihah katika swalah ya jeneza

Swali: Je, mtu asome Suurah nyingine baada ya kumaliza kusoma al-Faatihah?

Jibu: Hapana, halikuthibiti jambo hili. Hakuna kilichothibiti isipokuwa usomaji tu wa al-Faatihah.

Swali: Mswaliji akimaliza kusoma al-Faatihah na imamu hajapiga Takbiyr ya pili…

Jibu: Anyamaze. Akimaliza kusoma anyamaze.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
  • Imechapishwa: 17/08/2019