Swali: Suufiyyah wote waliopo hii leo wanazingatiwa ni washirikina au kuna Suufiyyah wasiokuwa washirikina?

Jibu: Suufiyyah hawako sawa. Wale wanaoomba badala ya Allaah, wakachinja kwa ajili ya asiyekuwa Allaah na wakaweka nadhiri kwa asiyekuwa Allaah ni washirikina. Kuhusu wale wenye kuonelea kuipa nyongo dunia, unyenyekevu na kuacha baadhi ya mambo ya halali ni kosa. Lakini hata hivyo hawafikii kiwango cha kufuru.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (13) http://alfawzan.af.org.sa/node/2056
  • Imechapishwa: 15/04/2017