Swali: Suufiyyah ni watu gani?

Jibu: Suufiyyah ni wale wanaomuabudu Allaah kinyume na njia isiyokuwa ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Wanajitahidi katika ´ibaadah kinyume na njia isiyokuwa ya Mtume na wanadai kuwa hawahitajii Mtume na kwamba wanapokea kutoka kwa Allaah moja kwa moja. Haya yatakuja huko mbele – Allaah akitaka.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (03) http://alfawzan.af.org.sa/node/2046
  • Imechapishwa: 18/10/2016