Sunnah yoyote inayoswaliwa baada ya ´Ishaa

Swali: Je, ni kweli kwamba swalah yoyote ya sunnah pasi na Raatibah zinazoanza baada ya Maghrib huzingatiwa ni katika swalah ya kisimamo cha usiku?

Jibu: Baada ya ´Ishaa na si baada ya Maghrib. Kwa sababu yeye (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akiswali swalah ya usiku baada ya ´Ishaa na si baada ya Maghrib.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 179
  • Imechapishwa: 03/07/2022