Sunnah ni kukithirisha kufunga Sha?baan


Swali: Je, kumepokelewa kitu kuhusu swawm ya Sha?baan? Ni ipi hukumu ya kukhusisha funga ya tarehe 15 Sha?baan katika kila mwaka?

Jibu: Ndio, Mtume (Swalla Allaahu ?alayhi wa sallam) alikuwa akifunga Sha?baan siku zake nyingi. Sunnah ni kufunga Sha?baan na mtu akithirishe swawm ndani yake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/node/13726
  • Imechapishwa: 07/05/2017