Sunnah ni kubisha hodi mara tatu na si zaidi ya hapo

Swali: Nikiwa na dhana yenye nguvu kwamba wenye nyumba hawakusikia hodi yangu. Je, naweza kupiga hodi zaidi ya mara tatu?

Jibu: Hapana. Sunnah ni mara tatu. Usizidishe juu ya tatu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 22/12/2018