Sujuud ya kushukuru na si swalah ya kushukuru

Swali: Je, kumethibiti swalah ya kushukuru?

Jibu: Hakuna swalah ya kushukuru. Kilichopo ni sujuud ya kushukuru.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 187-188
  • Imechapishwa: 04/07/2022