Swali 356: Nisujudu katika hali niliyomo kwa msemo mwingine bila kufunika kichwa na mwili kwenye kisomo kilicho na Sujuud?

Jibu: Hakuna neno kusujudu katika hali yoyte japokuwa ni kwa kichwa wazi na mfano wake kwa vile ninayapa nguvu maoni yanayosema kuwa sijda hii haina hukumu moja kama swalah.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 138
  • Imechapishwa: 27/09/2019