Sujuud-us-Sahuw Kwa Aliyesahau Kusoma Suurah Baada Ya al-Faatihah


Swali: Ni ipi hukumu lau Imamu atasahau katika Swalah za kusoma kwa sauti kusoma Suurah baada ya al-Faatihah?

Jibu: Ni Sunnah. Ikiwa amesahau kusoma baada ya al-Faatihah kitu katika Qur-aan katika zile Rakaa mbili za mwanzo, huyu ameacha Sunnah. Inapendekeza kwake kuleta Suujud-us-Sahuw kwa minajili ya mapendekezo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo--1430-8-5.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014