Sujuud-us-Sahuw katika swalah ya sunnah


Swali: Sujuud ya kusahau imewekwa katika Shari´ah katika swalah za sunnah kama ilivyo katika Shari´ah katika swalah za faradhi?

Jibu: Ndio, bila ya shaka. Kwani zote ni swalah. Akisahau katika swalah ya sunnah asujudu sijda ya kusahau kama alivyosujudu kwa kusahau katika swalah ya faradhi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 25/10/2017