Sujuud-us-Sahuw ilio bora


Swali: Inajuzu kuleta sujudu ya kusahau (سجود السهو) daima kabla ya Tasliym au daima baada ya Tasliym?

Jibu: Yote mawili yanajuzu, lakini lililo bora zaidi ni kuileta kabla ya Tasliym ikiwa mtu amepunguza kitu katika swalah na kuileta baada ya Tasliym ikiwa mtu ameongeza kitu katika swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ighaathat-il-Lahfaan (59) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-29-01-1438_0.mp3
  • Imechapishwa: 03/11/2017