Swali: Muislamu akivaa soksi kwa ajili ya kujitofautisha na Ahl-ul-Bid´ah, anazingatiwa kuwa ameihakikisha Sunnah?

Jibu: Hapana. Azivae tu kwa sababu ya haja. Asizivae iwapo atakuwa sio mwenye kuzihitaji, pasi na kujali sababu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (5) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdt–01041434.mp3
  • Imechapishwa: 19/10/2016