Swali: Miongoni mwa mambo yaliyopendekezwa wakati wa kutawadha ni kutumia Siwaak. Inatakiwa iwe kabla ya kutawadha au wakati wa kusukutua kinywa?

Jibu: Yote mawili. Anaweza kufanya hivo kabla ya kutawadha na wakati wa kusukutua kunywa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (81) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-1-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 18/02/2018