Siwaak wakati wa kila swalah

Swali: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kutumia Siwaak wakati wa swalah. Je, makusudio ni katika swalah za faradhi na swalah za sunnah au ni jambo linalofanywa tu wakati wa swalah za faradhi?

Jibu: Hapana, si jambo maalum wakati wa swalah za faradhi. Inahusiana na kila swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (86) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/NEW.lite_.mp3
  • Imechapishwa: 11/07/2018