Swali 325: Kupiga Siwaak ni kwa mkono wa kulia au wa kushoto?

Jibu: Kwa mkono wowote ataotaka hakuna ubora wa mkono mmoja juu ya mwingine.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdur-Razzaaq al-´Afiyfiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 123
  • Imechapishwa: 06/09/2019