Sisi hatuwafuati watu


Mtu ataona tofauti nyingi katika ´Aqiydah na mambo ya ´ibaadah. Watu wanafuata matamanio na maoni mbalimbali. Hata hivyo sisi hatuwafuati watu. Tunayapima yale waliyomo watu na Qur-aan na Sunnah. Yale yanayoafikiana na Qur-aan na Sunnah ndio haki na yenye kwenda kinyume nayo ni batili.

  • Mhusika: aam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Sharh-is-Sunnah, uk. 29
  • Imechapishwa: 18/10/2017