Sisi Ahl-us-Sunnah tuna Mola na Mtume mmoja na Shiy´ah?

Sisi (Shiy´ah) hatukusanyiki pamoja nao (Ahl-us-Sunnah) juu ya Mungu, wala juu ya Mtume wala juu ya kiongozi. Hilo ni kwa sababu wao (Ahl-us-Sunnah) wanasema kwamba Mola wao ni yule ambaye Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ndiye Mtume wake na khaliyfah wake baada yake ni Abu Bakr. Sisi (Shiy´ah) hatumwamini Mola huyu wala Mtume huyu. Bali tunasema kwamba Mola ambaye khaliyfah wake ni Abu Bakr sio Mola wetu wala Mtume huyo sio Mtume wetu.

  • Mhusika: Ni´matullaah al-Jazaairiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Anwaar an-Nu´maniyyah (02/278)
  • Imechapishwa: 07/12/2018


Takwimu
  • 333
  • 373
  • 1,819,101