Kama inavyosemwa:

”Kutokana na mlivyo ndivo mtatawaliwa.”[1]

Ijapo hii sio kanuni inayothibiti moja kwa moja. Kwani zama zinaweza kugeuka kwa muda wa siku moja. Chukua mfano wa makhaliyfah wa Banuu Umayyah waliokuwa wakiishi kabla ya ´Umar bin ´Abdil-´Aziyz. Kulikuwa kuna tofauti kubwa baina yake yeye na wale waliokuwa kabla na baada yake. Pamoja na kwamba raia ni haohao. Haikubadilika haraka kwa mara moja tu.

[1] Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”adh-Dhwa´iyfah” (320).

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Silsilat-ul-Hudaa wan-Nuur (831)
  • Imechapishwa: 09/10/2020