Sikukuu za batili


Swali: Watu watu ambao wamesema kuwa sikukuu ikiwa hazikufanywa kwa lengo la ´ibaadah na wala zikawa sio maalum kwa makafiri, basi haina neno kuzisherehekea. Mfano wa hizo ni kama sikukuu ya kuzaliwa, siku ya mwalimu na mfano wake. Je, upambanuzi huu ni sahihi?

Jibu: Tumesoma kuwa zote hizi ni batili. Haijuzu kitendo hichi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 18/09/2020