Siku ya kuzaliwa ya Mtume haikuthibiti


Swali: Katika Khutbah ya ijumaa Khatwiyb amesema kuwa haikuthibiti kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amezaliwa tarehe 12 Rabiy´ al-Awwaal…

Jibu: Ndio ni sahihi. Hili halikuthibiti. Siku ya kuzaliwa kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) haikuthibiti. Ni maoni tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/node/16495
  • Imechapishwa: 23/07/2017