Swali: Kuna mwanafunzi anaamini kuwa aina ya picha zote ni haramu kukiwemo njia ya video camera vilevile. Je, ana dhambi endapo atahudhuria kwa baadhi ya wanachuoni ambao wanachukuliwa video camera wakati wa kutoa darsa zao au wakati wa kutoa muhadhara?

Jibu: Ikiwa kuna manufaa makubwa katika kufanya hivi hakuna neno. Asikilize na atazame ili aweze kufaidika. Asikilize ili aweze kufaidika na akataze picha hizi. Asikubaliane nazo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017