Sifa ya kubaki kwa Allaah


Swali: Kubaki ni Sifa ya kidhati au kimatendo?

Jibu: Ni Sifa ya kidhati.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/sfranih_05.mp3
  • Imechapishwa: 29/06/2018