Swali: Tunawaruhusu [wanafunzi] kutoka ili watawadhe na hawarejei isipokuwa baada ya kumalizika somo. Je, inafaa wakasoma ndani ya msahafu?

Jibu: Si lazima watawadhe kwa ajili ya kugusa msahafu. Wanaweza kuisoma kimoyoni ili ikite zaidi kwenye hifdhi. Vinginevyo waruhusiwe waende kutawadha. Yule asiyerudi anatakiwa kutiwa adabu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/21573/حكم-مس-الطلاب-المصحف-بغير-وضوء
  • Imechapishwa: 20/08/2022