Swali: Kuna sharti na vikwazo vipi vya Takfiyr?

Jibu: Takfiyr haitakiwi iwe midomoni kwa watu hapa na hapa. Wanachuoni na wale wenye uoni wa mbali ndio wanaoshughulikia maudhui haya. Wao ndio wanabeba jambo hili. Ama watu wote kwa jumla, wanafunzi ambao hawajakuwa imara na wale wanaoanza wasifanye Takfiyr ndio gumzo lao la hapa na hapa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (87) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-3-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 17/11/2018