Swali: Je, mtu anapewa udhuru kwa hadaa hizi za ki-Shaytwaan kwa sababu anaonelea ya kwamba mwelekeo fulani ndio haki inayopaswa kufuatwa na kwa ajili hiyo anakuwa ni mwenye kupewa udhuru kwa ujinga wake?

Jibu: Hapana, hapewi udhuru kwa ujinga wake. Ni lazima afuate haki na madhehebu ya Salaf na kushikamana na mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Hapewi udhuru kwa hilo. Hana haki ya kusema kuwa amefikia katika hili na lile.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (29) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2025-12-1435.mp3
  • Imechapishwa: 03/05/2020