Shiy´ah al-Jazaa-iriy anakiri myahudi ndiye muasisi wa pote hilo

´Abdullaah bin Sabaa´ alisema kumwambia ´Aliy:

“Kwa kweli wewe ndiye Allaah!”

Hivyo ´Aliy akamfukuza kwenda katika vijiji. Imesemwa pia kwamba alikuwa ni myahudi ambaye alisilimu. Wakati wa uyahudi wake aliwa akisema juu ya Yuushuu´ bin Nuun na Muusa yale ambayo baadaye alikuja kusema kuhusu ´Aliy.

  • Mhusika: Ni´matullaah bin Muhammad al-Jazaa-iriy (kfrk. 1112)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Anwaar an-Nu´maaniyyah (2/234)
  • Imechapishwa: 09/12/2018