Swali: Je, Allaah anasamehe shirki?

Jibu: Anaisamehe kwa kutubia. Haisamehi isipokuwa kwa kutubia. Kuhusu mwenye kufa pasi na kutubia Allaah hamsamehi:

“Mwenye kukutana na Allaah hali ya kutomshirikisha na chochote ataingia Peponi. Na mwenye kukutana naye hali ya kumshirikisha na chochote ataingia Motoni.”[1]

[1] al-Bukhaariy (129) na Muslim (93).

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (79) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-11-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 28/10/2018