Sherehe ya mtoto kwa kutimiza mwaka mmoja


Swali: Ni ipi hukumu ya kufanya sherehe katika mnasaba wa kuzaliwa mtoto mpya baada ya mwaka mmoja peke yake?

Jibu: Haijuzu kusherehekea mazazi. Hii ni Bid´ah:

“Kila Bid´ah ni upotevu.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah22-05-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017