Sherehe baada ya kutekeleza kafara


Swali: Kuna mtu alikuwa na kafara kubwa ya kufunga miezi miwili mfululizo. Baada ya kuyafunga akafanya mwaliko mkubwa. Je, yanamdhuru?

Jibu: Hakuna neno. Anafurahi kutekeleza yale yaliyokuwa ni wajibu kwake. Ni aina ya furaha.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (59) http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/16543
  • Imechapishwa: 19/09/2017