Swali: Kuna mtu ameingiwa na utata kuhusiana na uasi kwa mtawala. Amemsikia Shaykh mwenye kusema kuwa ni suala lenye tofauti tokea hapo zamani na ametaja msimamo wa Ibn-uz-Zubayr kwa al-Hajjaaj na kadhalika al-Husayn [kwa Yaziyd bin Mu´aawiyah]. Unasemaje juu ya hilo?

Jibu: Dalili ya hakika iko kwenye Qur-aan na Sunnah. Mtu, pasina kujali ni nani, akikosea, kosa lake haiwi ni dalili katika Uislamu. Wakati Mu´aawiyah (Radhiya Allaahu ´anh) alipofariki na Yaziyd akawa amechukua utawala. Hakutendea kazi kama ilivokuwa wakati wa makhaliyfah watatu ambapo baada yake kungefuatia ufalme.

  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: Haqiyqat-ul-Bay´ah fiyl-Islaam wa Bayaan Shuruwtihaa wa Khatwar Naz´ihaa
  • Imechapishwa: 05/09/2020