Swali: Ni Sunnah wanaume kufuga nywele?

Jibu: Ni jambo zuri kufuga nywele sawa na urefu wa nywele alizokuwa nazo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ikiwa malengo ni kumuiga. Hata hivyo itakuwa haijuzu kufuga nywele kwa ajili ya kuwaiga wamagharibi, vijana wapotevu na wengineo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Tafsiyr-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tafsir%20ayat-03-08-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/06/2020