Swali: Mtu akitia shaka juu ya usafi wa mkeka au godoro?

Jibu: Msingi ni usafi. Shaka inatokana na shaytwaan.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22908/حكم-الشك-في-طهارة-الحصير-او-الفراش
  • Imechapishwa: 15/09/2023
Takwimu
  • 321
  • 373
  • 1,819,089