Shahaadah ya mwabudia kaburi kabla ya kufa

Swali: Kuna shabiki mwabudia kaburu ambaye namjua alitoa shahaadah kabla ya kufa. Baada ya hapo hakufanya kitu chenye kuchengua shahaadah yake. Je, tuseme kuwa amekufa hali ya kuwa ni muislamu?

Jibu: Ndio, akisema hili ya kuwa ni mwenye kutubu. Hata hivyo shahaadah haimnufaishi chochote akiitamka na huku ni mwenye kuendelea katika hali yake za zamani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (26) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20%20-%204%20-%201%20-%201436.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2017