Swali: Je, inajuzu kwa mtu kusema “Mimi ni Salafiy?”

Jibu: Ndio, wakati wa haja. Akiwa kati ya watu wenye kwenda kinyume na madhehebu ya Salaf ambao ni katika mapote potevu wenye kwenda kinyume na madhehebu ya Salaf, ajitenge nao kwa kusema “Mimi ni Salafiy”. Bi maana mimi siniko katika ´Aqiydah yenu wala madhehebu yenu. Pale inapohitajika kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14020
  • Imechapishwa: 19/04/2018