Mtu ambaye amesheheni makosa tunamwita mzushi. Wazushi wote katika ulimwengu wa Kiislamu bila ya shaka wana matamshi. Wanayajua ni makosa gani walionayo na wanataraji Ahl-us-Sunnah watakuja kuwazingatia kama wazushi.

Soma yale yaliyoandikwa na ndugu Rabiy´ bin Haadiy (Hafidhwahu Allaah) kuhusu Sayyid Qutwub na Wahdat-ul-Wujuud yake na matusi yake kwa ´Uthmaan (Radhiya Allaahu ´anh). Vilevile vitabu vya Sayyid Qutwub vimelemea katika Takfiyr. Takfiyriyyuun wengi wanatumia hoja kwa vitabu vya Sayyid Qutwub.

  • Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Wâdi´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwaa-ih wa Naswaa-ih, uk. 148
  • Imechapishwa: 14/04/2017