Swali: Inafaa kwa muislamu kununua wale samaki wa mapambo na kuwaweka nyumbani kwake?

Jibu: Midhali wataishi na watapewa chakula, hakuna neno. Midhali wataishi na watapewa chakula na maji hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (93) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighstah%20-20-1-1440_0.mp3
  • Imechapishwa: 18/04/2019