Swali: Huku kwetu kuna al-Ikhwaan al-Muslimuun wengi, Suruuriyyuun na Jamaa´at-ut-Tabliygh wakati Salafiyyuun ni wachache mno. Ni vipi unatakiwa kuwa msimamo wa mtu kati ya mapote haya?
Jibu: Hili limeshaulizwa. Jitenge mbali na wao.
Kuhusiana na Jamaa´at-ut-Tabliyg, ninapendelea kitabu cha Shaykh muheshimiwa Hamuud at-Tuwayjiriy “al-Qawl al-Baliygh fiyt-Tahdhiyr min Jamaa´at-it-Tabliygh”.
- Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tuhfat-ul-Mujiyb (128)
- Imechapishwa: 04/09/2020
Swali: Huku kwetu kuna al-Ikhwaan al-Muslimuun wengi, Suruuriyyuun na Jamaa´at-ut-Tabliygh wakati Salafiyyuun ni wachache mno. Ni vipi unatakiwa kuwa msimamo wa mtu kati ya mapote haya?
Jibu: Hili limeshaulizwa. Jitenge mbali na wao.
Kuhusiana na Jamaa´at-ut-Tabliyg, ninapendelea kitabu cha Shaykh muheshimiwa Hamuud at-Tuwayjiriy “al-Qawl al-Baliygh fiyt-Tahdhiyr min Jamaa´at-it-Tabliygh”.
Mhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tuhfat-ul-Mujiyb (128)
Imechapishwa: 04/09/2020
https://firqatunnajia.com/salafiyyuun-wachache-kati-ya-hizbiyyuun/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)