Swali: Katika baadhi ya nchi wanagawanya Salafiyyah kati ya Salafiyyah ya Jihaadiyyah na Salafiyyah isiyokuwa ya Jihaadiyyah. Ni vipi tutaraddi utata kama huu?
Jibu: Tunairaddi kwa kurejea katika ´Aqiydah ya Salaf. ´Aqiydah ya Salaf imeandikwa, imehifadhiwa na iko wazi. Hebu turejee huko. Hatutoona tuhuma kama hizi na uongo kama huu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17755
- Imechapishwa: 28/02/2021