Salaf hawakuwa wakisema haya baada ya kumaliza kusoma Qur-aan

Swali: Ni ipi hukumu ya kusema:

صدق الله العظيم

“Allaah mtukufu amesema kweli”?

baada ya kumaliza kusoma Qur-aan?

Jibu: Bora ni kutokufanya hivo. Haikuthibiti kwamba Salaf walikuwa wakifanya hivo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (07) http://dl.islamweb.net/audiopath/audio/lecturs/aalrrajhee/434/434.mp3
  • Imechapishwa: 16/12/2018


Takwimu
  • 25
  • 413
  • 1,821,444