Safari zinazojuzu kwenda katika miji ya makafiri


Swali: Inajuzu kwa muislamu kusafiri kwenda katika miji ya makafiri kwa ajili tu ya utalii?

Jibu: Hapana. Asisafiri kwenda katika miji ya mafiri isipokuwa kwa ajili ya biashara, matibabu au kulingania katika dini ya Allaah – kisha arudi. Ama kwenda tu na kubaki huko haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2017